Tweets
stringlengths
11
277
Labels
int64
-1
1
MASAUNI ATEMBELEA KITENGO CHA POLISI CHA KUZUIA DAWA ZA KULEVYA via
0
2018 ulikuwa mwaka mbaya sana kwenye maisha yangunilipitia kwenye misukosukoktk utafutaji sio mapenzi iliyoniachia alama za milele kwenye moyo wangubaada ya hapo nilibaki na funzo kubwa na Mungu akawa upande wangu Namshukuru Mungu bado napumua
-1
Sijawahi kutoa kauli popote ya kwamba sitagombea tena Ubunge hizo ni kauli zinaitwa wishfull thinking ndio CCM wanas
1
Njiro tumewasikia tunaendelea kuboresha huduma
0
Msikilize Prince Dully Sykes ndani Power Breakfast Clouds Fm akifunguka juu ya show yake ya MIAKA 15 YA BONGO
0
Usijisikie dhaifu kuitwa mwogajapo sio kwamba woga utakusaidia katika kila nyanja lakini hofu na wasiwasi ni nguzo muhimu za
1
Nasema ukweli my Tena kinagaubaga
1
Tunaomba utueleze kama tatizo bado unaloJuma
0
Vunja ukimya rushwa ya ngono inadhalilisha na inaua
1
Rais ametoa Bil 15 Ujenzi wa Hosptali ya Kanda Kusini Pia hapa isemwe Rais anadaiwa Bil 6 za Wakulima wa Korosho
1
Mfahamu Tito Paulmwanafunzi aliyeongoza UDSM kwa kupata GPA ya 48
0
Habari kim97 Tafadhali tunaomba kufahamu changamotomaoni au maswali kuusiana na mtandao wa Tigo kwasasa
1
Ama kweli Kila Binadamu ni Mshindwa na at the Same Time Ni Mshindi
0
Nimetokea kwenye familia maskini sana na kibaya zaidi ilidharaulika sana tena kwa pande zote mbili yaani upande wa baba
-1
Habari shaby we2 Ujanja NI kubadilisha na kukuongezea thamani ya pesa yako kwa huduma zetuhivyo tumeboresha menyu yetu 14700 au 14800Kwa kutumia vifurushi vyetu sasa unaweza kutumia dakika za muda wa maongezi kupiga mitandao yote bila k
0
Ahsante kwa kutembelea ukurasa wetunk
0
Ni kawaida Mwembe ukiwa uani nyani hawezi tamba
0
hapa ndo naanza kumbuka Ndiyo Mzee Siyo Mzee Nangatuka afu wale waliokupingaga mikumi sasa wanajisuta
0
Ni kwa Nini Muziki ama nyimbo zenye ala na Ujumbe wa mapenzi unapendwa zaidi kuliko nyimbo nyingine Je Tuna shida Sana kwenye mapenzi ama tunapenda Sana mahaba kuliko
0
tunaomba radhi kwa hilo tumeomba taarifa zako DM ili tuweze kuwasiliana nawe na kukupatia huduma
0
Kindly Wafollow hawa jamaa katika account yao hii hawa ndo suluhisho la magari kama inavyoonekana hapo kwenye
0
Kigwangala hapa ametuonesha mambo mawili Amethibitisha yeye ni mtu mwenyewe KIBURI pia ametuonesha kiwango chake cha UP
0
Mwana kakwama anapush ndinga yake bei ya kiserikali kabisa Yupo Mwanza Bei 115m CC 1490 yaani mafuta ya buku 2 unafu
0
Siasa ni maisha siasa sio ushabiki kama mpira mnazodoana na wenzio mkitoka hapo kila mmoja anaenda kulala
0
Furaha ya kua mshindi haielezeki Unaposhinda mkeka unajiskiaje tuelezee kidogo
1
Hello Naomba Retweets zakutosha watu wajue NINAFANYA USAFI siku hizi
0
Mtu Akikukuacha Au Akikukataa Inamaanisha Hataki Kuendelea Kukupoteza Muda Maana Hana Mpango Wowote Na Wewe Kubali Na
0
Asante sana Clouds Media
1
Ndugu yetu ni fundi wa nyumba nzuri na Swimming Pool za kisasa zenye ubora wa hali ya juu Jamaa napatikana
0
Habari Asante kwa kutuandikia kupitia katika ukurasa wetu na pole sana kwa changamoto unayoipitia tafadhali fahamu kuwa
0
KAZI YA BANDARI SIO KUHIFADHI MIZIGO ASEMA MCHALAGANYA Mkurugenzi Msaidizi wa Bandari ya Dar es Salaam Ahmed Mchalaganya amesema miongoni mwa majukumu ya bandari kuhifadhi mizigo si sehemu ya majukumu
1
namba ya taarifa ndugu mteja
0
Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo 29072018 kama unavyoletwa
0
Nasi tunakupenda pia with us
1
Watoto wa kike wanaoshindwa kupata huduma za afya za uzazi wapo katika uwezekano mkubwa wa kupata ujauzito
0
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Faraji Kasidi Mnyepe wamekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani Bi Inmi Patterson
1
Kwa mtazamo wangu dira ya madini ya Africa sioni tu kama mwongozo pekee naona ni msingi wa majibu wa changamoto zinazokabili sekta ya madini Afrika Jesca Kishoa MbungeMjumbe kamati ya nishati na madini
0
NI MARUFUKU WANANCHI KULIPIA NGUZO WAZIRI KALEMANI
1
Kuna wanaotegemea familia zao na kuna wanaotegemewa na familia zao
0
hiyo issue usilipie niachie miminina mshikaji wangu Lubasha nikimwambia atatufanyia bure
0
Tusiweke vitu tusivyo na uhakika navyo kwenye mitandao Publication of false information is a crime
-1
Nchi inapikwa Wakuu wanachochea kuni Wanataka iive Siku wakigundua kuni zao walikuwa wanachoma matofali na yameshakuwa
0
PICHATimu ya wataalamu wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kwa kushirikiana na Mkandarasi ABB wa nchini Switzerland wameendelea na kazi ya kufunga transfoma yenye uwezo wa Megawati 240 katika Kituo Kikuu cha Kupoza na Kusambaza umeme cha Ubungo Jijini Dar es Salaam CrdtHN
0
Mlipuko na milio ya risasi yasikika katika eneo la 14 Riverside Nairobi Kenya Milipukomiwili mikubwa ya risasi ilisikika na baadaye ufyatuaji wa risasi Maafisa wa Polisi wamefika eneo la tukio katika jumba hilo ambalo lina hoteli yakifahari na ofisi za kampuni mbalimbali
-1
TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA
0
Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya dhidi ya Maji Maji umemalizika katika
0
Napenda nichukue Fursa kumshukuru Mungu na kukushukuru Brother kwa kuweza Kupata Nafasi ya Kupromote kitabu Uzinduzi Ulikuwa Mzuri wa Kitabu katika CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO Naomba tuwasiliane kwa nam
1
Ifahamu mifumo mikuu inayounda gari yako UZI Huu ni mfululizo utakaokuwa unakuletea dondoo mbalimbali kuhusu gari
0
Tunaendelea kulisaka bao la tatu
0
Baadhi ya picha katika fainali ya iliyofanyika Jana katika uwanja wa Kayanga Hongera
0
Muda wa kwenda mazoezini
0
Zamani ilikuwa mzigo mzito mpe mnyamwezi siku hizi mzigo mzito mpe mzaramo
0
Saa kumi na moja jioni hapa nilale
0
Kama umekosa maadui basi upo mbali sana na mafanikio
0
Alhamdulilah naomba ifike na selous na mikumi yaani hali ya wanyama inaskitisha sana
0
Huwa hatuweki akiba ya badae
0
Ohhh hapo sawa Ila kama mimi najua naruhusiwa Chapati Pilau kuku na chips
0
Nilipoanza kushirikishwa kwenye vikao vya familia na michango
0
Kadri unavyokula haraka ndivyo uwezekano wa kuongezeka uzito unakuwa mkubwa
0
Vijana wanaanza kuelewa somo Biashara ndogo ndogo zimeanza
1
Tuwape muda watamchapa hata leiza hawa
0
Mapendo kwa asiyekupenda ni sawa mvua porini
0
Mapumziko tukiwa mbele ya Biashara United
0
Tulipigwa sana huu mfumo
0
Af wanawake wanaotaka wanaume wenye hela ni kina nani
0
Na ndio waamuzi wa mambo
0
Hahaha polee tafsiri yoyote inaruhusiwa
0
Kakataa Katu Katu Kurudi Studio Leo Anapika Mchuzi na Wakiwa UFUKWENI na zembwela
0
Taarifa iwafikie wote ambao tutacheza nao iwe wa ndani au nje
0
Simba hii raha tu Tunaongoza hapa dhidi ya Al Ahly
0
Wataoa mademu wenye makomwee
0
Nitarudisha nikiokota blaza si unajua vyuma vimekaza na grisi pia bei juu pia
0
Naelewa sasa njia ambayo kanisa katoliki hapa Tanzania limeamua kuipita
0
Ukifa umerogwa mawazo ya uwoga hayapotei
0
Mali yake hata ingekuwa TV ndogo ya kuchungulia kwa jicho moja ni sawa tu
0
Piga kazi au upigwe kazi Ni wewe tuuu
1
Wanaomtusi Rais hukamatwana kufikishwa mahakamani sasa ni lini Magufuli kama Rais au raia alifungu
1
Wanafunzi wasioona wanawezaje kuona picha hizi kwenye cover ya kitabu
1
Makamanda ambao leo watawakabili Kagera Sugar
0
Washambuliaji kwa magoli ya kweli
0
Sasa unaweza kupakua ripoti za utafiti wa utekelezaji wa sera ya kupitia na
1
ndio mwaka rasmi bia ilianza kutengenezwa viwandani
0
Mh Membe umeniacha njiani sijaelewaUnasema
0
Ni mpya kabisa tumetengeneza kwaajili ya DANGA
0
mambo yalikuwa mengi humo
0
Tufanye haya ili kuhakikisha sekta ya mawasiliano ya simu inaendelea kukua na kustawi
1
Hii sio Manzese hii ni Titanic ya buza
0
Upo eneo gani mteja tunaomba details vizuri ili tuweze kufuatilia
0
Labda kama ni nyuma na mbele
0
Huwa kuna hela tunaisikilizia
0
Vituo tayari vimefunguliwa kuwauzia tiketi Wanasimba Pia zinapatikana kupitia mitandao ya simu
0
Wadau wanasema WanaSiasa Wana Nafasi kubwa ya Kuhamasisha Community ParticipationUshiriki wa Jamii ktk Kuchangia
1
Ukifungua tu mdomo kinakimbia
0
Saida Kalori kahama Mutta ana hama
0
Hata mimi mwenyewe sijui ukisikia nijulishe
0
Nakuongeza na hii tumia Baking Soda kuondoa hiyo njano kwa meno
0
Hahahah kwanini unadanganya watu kwenye funding
0
Shoka lisilo mpini halichanji kuni
1
Anaitwa Alisson Ramses Becker ndiye kipa bora wa Ulimwengu kutoka kwa Majogoo Liverpool
0
Toa neno uwe hapo utaelewa nilichomaanisha maana naona umekazania kuweka hilo neno
0